Na Omary Mbaraka
Leo ni siku ya kiswahili duniani na kuadhimishwa rasmi jijini Paris Ufaransa ambapo waziri mkuu Mhe dkt Mwigulu Nchemba amemwakilisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa habari Mhe Paul Makonda amehudhuria pia
Mhe Mwigulu Nchemba ameomba Taasisi mbali mbali duniani kukitafsili kiswahili na hivyo kukua zaidi duniani.
Nchi nyingi zimeadhimisha ikiwemo Burundi ambapo naibu waziri wa habari wa Tanzania amehudhuria.



0 Comments