Na Omary Mbaraka
Leo hii ni miaka 50 ya maonyesho ya kimataifa ya biashara yajulikanayo saba saba ambapo mgeni rasmi aliemwakilisha RAIS ni makamu wa Rais wa Tanzania Mhe Emmanuel Nchimbi
Nae mkuu WA mkoa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila alitembelea maonyesho hayo ambayo yamehudhuriwa na mataifa 25 na kusema ama kuonyesha Nia ya kuongeza muda ILI WANANCHI wajipatie bidhaa kwa bei rahisi pia huduma mbali mbali ikiwemo ya kutibu macho nk



0 Comments