Blog Post

MBIO ZA SHUKURAN KWA MLIPAKODI NA MIAKA 30 YA TRA TAREHE JUNI 27 2026

 Na Omary Mbaraka 



Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakaribisha walipakodi wote nchini kushiriki matembezi na mbio za Shukrani kwa Mlipakodi kuelekea Tuzo ya Rais kwa Mlipakodi bora na Maadhimisho ya miaka 30 ya TRA 


 Karibuni walipakodi wote na watanzania kwa ujumla siku ya Traehe 27 Juni, 2026 kuanzia saa 12 Asubuhi katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam na maeneo mbalimbali kwa mikoa yote kwa nchi nzima. ‘Miaka 30 ya TRA, Kulipa kodi ni Uzalendo na Ushujaa kwa Maendeleo na kujitegemea kwa Taifa letu’’



Post a Comment

0 Comments

Close Menu