Blog Post

WIZARA YA VIWANDA KUFUNGUA FURSA MPYA NA KULINDA UWEKEZAJI NA BIASHARA ZILIZOPO

Na Omary Mbaraka 


Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara itaendelea kufungua fursa mpya za uwekezaji na biashara,kulinda uwekezaji  na biashara zilizopo na kuendelea kuweka mazingira bora kwa ajili ya kuleta uendelevu wa biashara na viwanda nchini


 Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe.Judith Kapinga[Mb],Juni 24,2026,wakati wa uzinduzi wa kituo cha Mafunzo,Ufundi na Utengenezaji wa Magari cha Superdoll Jijini Dodoma uliofanywa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Dkt.Mwigulu Nchemba.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu