Blog Post

MO AKUTANA NA WACHEZAJI NA BENCHI LA UFUNDI LA SIMBA KUWAPA HAMASA




Na Omary Mbaraka 

 Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji maarufu kama Mo Dewji, leo amekutana na kufanya mazungumzo na wachezaji pamoja na benchi la ufundi la klabu hiyo ikiwa ni sehemu ya kuwapa hamasa kuelekea michezo ya mwisho ya msimu.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu