Blog Post

WAZIRI KIKWETE AMEWATAKA WAHITIMU WA TAASISI YA UONGOZI KUWA WAADILIFU



 Waziri wa Nchi, Ofisi ya ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka Wahitimu wa Taasisi ya Uongozi kuwa waadilifu, wenye nidhamu na uthubutu ili kuleta maendeleo katika jamii na taifa kwa ujumla.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu