Blog Post

RAIS DKT SAMIA AMKABIDHI WAZIRI PROFESA SHEMDOE BILIONI 94


 Na Omary Mbaraka 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Profesa Riziki Shemdoe mfano wa hundi ya Shilingi bilioni 94.158,250,400/= kwa ajili ya mikopo ya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu kwenye Kongamano la Kitaifa la Mama na Baba lishe, lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu