Blog Post

RAIS DKT RUTO WA KENYA AWASILI NCHINI


 Na Omary Mbaraka 

Rais wa Kenya Dkt William Samoe RUTO amewasili nchini kwa ziata ya kikazi na kupokewa uwanja wa ndege wa Julius kambarage Nyerere jijini Dar es salaam na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrka Mashariki Mhe Mahamoud Kombo 

Atapokewa na gwaride rasmi uwanja wa ikulu Dar es salaam akiongozwa na mwenyeji wake RAIS Dkt Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo ya kukuza mahusiano ya kiuchumi na ujirani mwema

Kesho Rais Dkt William Samoe Ruto anatarajia kuhutubia BUNGE jijini Dodoma

Post a Comment

0 Comments

Close Menu