Na Omary Mbaraka
Katika Moja la kongamano la wanawake lilililopokelewa na kuhutubiwa na hayati baba wa Taifa MWL Julius Kambarage Nyerere,wanawake hao wakati wakimshangilia walmueleza"Wanawake mbeleee"
Hata hivyo Hayati Nyerere aliwajibu kuwa nanukuu "Mwenyezi mungu ameumba Kila kitu viwili viwili yaani Kushoto Kuna Kulia,Juu Kuna chini, Mwanamke Kuna Mwanaume, na Mbele Kuna Nyuma hivyo nyinyi wanawake mkiniambia wanawake mbele maana yake wanaume nyuma ikiwa ni pamoja na Mimi hivyo Hilo sikubali"



0 Comments