Na Mwandishi wetu 

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzii Taifa CCM, Chini ya Rais wetu mpendwa Dkt Samia Suluhu Hassan  imevipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri


Halmashauri kuu ya CCM Taifa:-Kwa kauli moja imevipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi kubwa ya kulinda nchi na kuhakikisha hali ya Amani na Utulivu inarejea haraka katika maeneo yote ya nchi yetu mara baada uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.