Katika hatua inayotajwa kama kielelezo cha juu cha ukomavu wa demokrasia na uongozi wenye busara, Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na waliokuwa wagombea urais 16 alioteuliwa nao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka
Mkutano huo wa kihistoria uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi 2026, umelenga kuimarisha maridhiano ya kitaifa na mshikamano baada ya kipindi cha ushindani wa kisiasa..0755844215




0 Comments