Blog Post

RAISI DKT SAMIA AFANYA HESHIMA KWA. KUWEKA SHADA LA MAUA KATIKA KABURI LA MAREHEMU KARUME


Na Omary Mbaraka 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi wengine wa serikali na chama katika kuadhimisha Siku ya Kumbukumbu ya Karume Day kwa kufanya heshima maalum ya kuweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, HayatiAbeid Amani Karume. 

Hafla hio imefanyika Leo Aprili 07, 2026, mara baada ya dua maalum iliyosomwa katika Afisi Kuu yaChama cha Mapinduziiliyopo Kisiwandui,Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu na heshima kwa mchango mkubwa wa Hayati Karume katika historia ya nchi na maendeleo ya Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu