WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Jana Februari 28, 2026 aliungana na waombolezaji kushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya Mazishi ya Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo yaliyofanyika katika Kanisa la Hija ya Bikira Maria - Pugu Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ndie alio
ngoza waombolezaji katika mazishi.





0 Comments