Blog Post

WAZIRI KAPINGA AKABIDHI TUZO YA HESHIMA RAIS DKT SAMIA

Na Mwandishi wetu 


Jijini Dar es Salaam_* 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amekabidhiwa Tuzo ya heshima kutoka kwa Waziri wa Viwanda na Biashara,Mhe.Judith Kapinga[Mb],kwenye hafla ya ufunguzi wa maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam[Sabasaba] Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere,Jijini Dar es Salaam,tarehe 03 Julai,2026.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu