Blog Post

ZUNGU SPIKA MPYA WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA


Na Omary Mbaraka 
Leo hii Mbunge wa Ilala Mussa Azzan Zungu amechaguliwa kuwa spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania baada ya kuwashinda wagombea wenza watano .

Mh Zungu ambae alikuwa naibu spika muhula uliopita alipata kura 378 dhidi ya kura 383 zilizopigwa na hivyo kuwa spika wa bunge la 13 la Jamhuri ya muungano wa Tanzania 

Post a Comment

0 Comments

Close Menu