Blog Post

KIKWETE AOMBA KURA KWA RAIS MBUNGE NA DIWANI KWA WANANCHI WA KATA YA MBWEWE CHALINZE



 

Na Mwandishi wetu 

Mhe Ridhwani Jakaya Kikwete amehutubia wananchi wa Kijiji cha Mbwewe na Kunduchi katika kata ya Mbwewe akiwa amepata moja ya muendelezo wa mikutano ya kuomba kura na kuwaombea Kura kwa wananchi wa Halmashauri Ya Chalinze wagombea wa Nafasi ya Urais, Dr. Samia Suluhu Hassan , Udiwani  Ndg. Omar Msonde na Ubunge katika Halmashauri ya Chalinze.


hama Cha Mapinduzi kinaendelea na mikutano yake ndani ya Halmashauri ya Chalinze. na kutumia mikutano hiyo kuwakumbusha wananchi wamefanya nini na kupanga kufanya nini miaka mitano inayokuja endapo watapewa dhamana ya uongozi. Kwa pamoja wananchi wanaendelea kushukuru na kuahidi kukipigia kura chama tawala tarehe 29 Oktoba 2025z


Post a Comment

0 Comments

Close Menu