Na Omary Mbaraka
Waziri wa kazi ajira na vijana wenye ulemavu ofisi ya waziri mkuu Mh Ridhwani Jakaya Kikwete alishiriki Mkutano wa kampeni ya Uchaguzi wa Rais, Ubunge na Udiwani kata ya Lugoba tarehe 22 Septemba 2025.
Katika mkutano huu alitumia nafasi hio kuwaombea kura mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dr. Samia Suluhu Hassan, Mbunge na Diwani wa kata hiyo Cde. Godfrey Naibala. Katika mkutano huo pia alinadi Ilani ya Uchaguzi na kuwafafanulia wananchi matumaini yanayobebwa na ilani hii ya uchaguzi ya Mwaka 2025-2030.



0 Comments