Waziri ofisi ya waziri mkuu kazi ajira na vijana na wenye ulemavu Mhe Ridhwani Jaksya Kikwete ashiriki mazishi ya Mama Mzazi wa Rais wa Chama Cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Ndg. Wares karia , yaliyofanyika Tanga.
Waziri Kikwete alitumia nafasi hiyo kutoa pole kwa familia na kuwatia moyo Wafiwa katika kipindi hiki kigumu wanachopitia cha kumpoteza mama yao. na kumuomba Mwenyezi Mungu awape nguvu na subira.
0 Comments