Blog Post

RAIS DKT SAMIA AKUBALIANA NA MAAMUZI YA TUCTA




 Na Mwandishi wetu Njombe

Wafanyakazi wa Wizara mbalimbali, Taasisi za umma na binafsi wakipita na magari wanayoyatumia katika shughuli zao za kila siku, mbele ya Jukwaa Kuu kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi 2026) ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Njombe, tarehe 01 Mei, 2026.

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amekubaliana na tathmini iliofanywa na kutolewa na mwnyekiti wa TUCTA ambae alisema sasa hivi serikali inakabiliwa na gharama kubwa kutokana na uharibifu makubwa uliofanywa na fujo za oktoba 29 na hivyo serikali kuwajibika kutumia fedha nyingi kufidia kwa watu binafsi na kwa taasisi za umma na kulipa madeni ya malimbikizo ya wafanyakazi na hivyo kuairisha kuomba mishahara kuongezwa

Chimbuko la siku hii ya mei mosi lilianzia Uingereza ambapo wafanyakazi pamoja na kudai haki zao ( Kama vile muda wa kufanya kazi, mishahara nk )walikabiliana na changsmoto kubwa ya vyombo vya serikali mfano kuzuiwa kuandamana na jeshi la polisi lakini hatimae walikubarika

KauIi mbiu ya safari hii ni "Kazi zenye staha ni nguzo imara kwa maendeleo endelevu Katika utekelezaji wa dira ya taifa 2050"

Post a Comment

0 Comments

Close Menu