Na Selemani Wambura
Dodoma
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeteua wagombea tisa kujaza nafasi tatu katika Bunge la Afrika Mashariki ambapo kura za maoni zitapigwa bungeni Aprili 30, 2026.
Walioteuliwa ni Stephen Byabato, Cosato Chumi, Jabir Bwanika, Paschal Masalu, Suleiman Serera, Kambarage Wasira, Chikulupi Kasaka, Fatuma Kange na Jesca Mshama.




0 Comments