Blog Post

RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN APIGA KURA CHAMWINO

 Na Omary Mbaraka 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.





Post a Comment

0 Comments

Close Menu