Mh. Tabia Mwita , Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete alipokutana kufanya mazungumzo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar Es Salaam.
Waziri Mwita yupo Jijini kuhudhuria mkutano wa Vijana na Amani unaofanyika mjini hapa.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na kijana mdogo aliyekuwa katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar Es Salaam alipokutana na waziri wa Mwita kutoka Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete alipokuwa akiingia kwenye ukumbi wa ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar Es Salaam alipokutana na waziri wa Mwita kutoka Zanzibar, akisindikizwwa na baadhi ya watumishi wa wizara yake.
0 Comments