Mgogoro kati ya kambi jeshi na wanakijiji wa kijiji cha Tondoroni unazidi kukua kwani hivi sasa jeshi limeamua kuvunja nyumba za wanakijiji wengi wao wakiachwa nje ya makazi yao
Shauri hili ambalo lilifikishwa mahakaman kati ya jeshi na wanakijiji na hatimae kijiji kushinda hata hivyo jeshi lilikata rufaa na hatimae kutolewa maamuzi yenye utata na hatimae kijiji kuwasilisha nia ya kukata rufaa mahakama kuu
Lakini pamoja na jeshi kutopewa amri ya kutekeleza amri hio juzi limevamia kijijini na kuanza kuvunja baadhi ya nyumba.
wanakijiji hao walimuandikia barua waziri wa ardhi na nakala kwa katibu mkuu kiongozi na kwa Rais wa jamhuri ya muungano ambazo ziliwakilishw tarehe 3 juni 2024mcom/img/b/ na R29vZ2xl/AVvXsEhHcgF-SmiqAtOdkWm4wqi8TKzwf6jWHhAjzNRoLpP5PhHsqzc19li6PCDGTKDTReKSnI6hqb8_MlKgeBL-Z35B8EifjbXIEGnCW2KDkZf8NGMHHd9tUMNnNffxihBvfUILBRxZxsMkZ-xDeUJNDjfboWYiqz3Z6ATiPAcDslsTjDFHovu8PUhh1qUsrHM/s1080/IMG-20240618-WA0029.jpg" style="display: block; padding: 1em 0; text-align: center; ">

0 Comments