Humphrey Herson Polepole ni mwanasiasa na mwanadiplomasia ambaye ni balozi wa Tanzania nchini Cuba alichaguliwa tangu 2023. Alikuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi kuanzia 2022 hadi 2023.
Habari za kijamia
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa katika ukaguzi
*Comoro kumuunga Mkono Dkt Ndugulile kinyang’anyito cha WHO Afrika*
Serikali ya Comoro imeahidi kuunga mkono ugombea wa Mhe Dkt Faustine Ndugulile katika nafasi ya Ukurugenzi wa Kanda wa Shirika la Afya Duniani (WHO).Hayo yameelezwa na Mheshimiwa Dhoihir Dhoulkamal,Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro baada ya kuombwa rasmi na Balozi wa Tanzania Nchini humo aliefika kujitambulisha na kuwasilisha nakala ya hati zake za Utambulisho.
Awali akijitambulisha Balozi Yakubu aliipongeza Serikali ya Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa sherehe nzuri za Uapisho wa Rais Azali Assoumani ambazo zilihudhuriwa na wakuu wa nchi mbali mbali ambayo ni ishara ya mtazamo mzuri wa mataifa ya nje kwa nchi hiyo.
Katija mazungumzo yao,Balozi Yakubu alifikisha pia salamu za Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan za azma yake ya kuona mahusiano ya Tanzania na Comoro yanakuwa juu zaidi na ushirikiano unaongezeka katika nyanja nyingi zaidi.
Balozi Yakubu aliwasilisha mwaliko maalum wa kuomba ushiriki wa Comoro katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara (Saba Saba) ambao ulikubaliwa.
Post a Comment
0
Comments
Social Plugin
TAFAKARI MEI 15, 2025
UTULIVU
UTULIVU WA KIPEKEE NDANI YA HOTELI YA KITALII YA NASHERA
Ndani ya hoteli ya Nashera
Miongoni mwa hoteli zilizoko karibu na mbuga ya wanyama ya Ruaha na Mikumi iko katika mji wa kiserikali Dodoma na mji wa kibiashara Ikulu ndogo Dar es salaam ndani ya hoteli hiyo kuna utulivu wa aina yake
0 Comments