Blog Post

MAFURIKO MAKUBWA BRAZIL

N Omary Mbaraka Katika mvua kubwa zinazoendelea duniani kote yametokea mafuriko makubwa nchini Brazil na kuacha watu elfu hamsini (50000) bila makaxi Jeshi la nchi hio kwa kutumia mashua za kijeshi (Military boats)zao wamejitahidi kuokoa watu mbalimbali waliozama kwenye maji Hata hivyo mvua hizo zimesababisha watu zaidi ya elfu hamsini kukosa makazi kwani nyumba nyingi zimebomelewa na kuzama kwenye maji na wananchi kupoteza mali nyingi kupotea

Post a Comment

0 Comments

Close Menu