Blog Post

RAIS WA CHINA LEO HII ATEMBELEA SERBIA

N Omar Mbaraka Rais wa China Xi Jinping atembelea Serbia na kukutana na rais wa Serbia bw Aleksandar kwa ajili ya kukuza mahusiano China imewekeza mabilioni ya dola za kimarekani (USD) nchini Serbia katika machimbo ya madini na miundombinu Kwa mara ya mwisho Xi Jinping kutembelea Serbia ilikuwa mwaka 2019 Hivi sasa Rais huyo wa china amekwenda Hungary

Post a Comment

0 Comments

Close Menu