Blog Post

BOENG 737 YAWAKA MOTO UWANJANI

Na Omary Mbaraka Ndege aina boeng 737 ya Senagal Airline jana iliwaka moto katika moja ya injini yake kabla yakuruka ikiwa katika njia yake ya kuruka (highway) Watu kumi waliumia na wengine kupata majeraha madogo madogo.Hivyo uwanja wa ndege wa Dakar Senegal ulufungwa kwa muda

Post a Comment

0 Comments

Close Menu