Blog Post

KENYA NA MAREKANI ZAFUNGUA UKURASA MPYA

Na Omary Mbaraka Tarehe 24 may 2024 Rais Ruto wa Kenya na Rais Joe Biden wa marekani walikutana mjini Washington na kukubalana maamuzi mazito baada ya marekani kuamua kuwekeza kwa kiasi kikubwa nchini kenya na kuikopesha kenya jumla ya dola za kimarekani bilioni moja Hii ina maana ule uhusiano wa kiuchumi kati ya Kenya na China ulioasisiwa na Rais Moi sasa umekufa Hapo awali wakati rais Ruto akiondoka kwenda marekani baadhi ya wananchi walilalamika kuwa safari hio ni matumizi mabaya ya fedha kwani itaigharimu Kenya mamilioni ya pesa lakini imekuwa ni tofauti kubwa kwani safari hio imezaa matunda mazuri ya kuineemesha Kenya

Post a Comment

0 Comments

Close Menu