Blog Post

MAMIA YA WAPALESTINA WAUKIMBIA MJI WAO KWA UKOSEFU WA CHAKULA

Na Omary Mbaraka Leo hii karibu wapalestina laki moja na sabini tano (175000) wamelazimika kuacha makazi yao huko Rafah Gaza na kukimbilia nchi jirani kutokana na ukosefu wa Chakula Tukio hilo limetokea baada ya majeshi ya Israel kwa makusudi kuzuia malori yote yaliyokuwa yakipeleka chakula cha msaada huko Rafah wapalestinna hao wameondoka katika mji wao kwa kutumia matoroli yanayovutwa na farasi wengine katika magari mabovu wakidai kuwa hakuna chakula wala maji hivyo kulazimika kuondoka Nae rais wa Amerika Joe Biden amesema atasimamisha msaada wa silaha kwenda Israel kwa vile Israel inatumia vibaya misaada hio kwa kuwatesa raia wakipelestina wasio na hatia

Post a Comment

0 Comments

Close Menu