Na Omary S Mbaraka
Chombo hiki cha habari kinafuatilia tukio linalohusisha watu kadhaa kuanguka na kupoteza fahamu kwa muda baada ya kutumia Shisha maeneo ya masaki
Baada ya uchunguzi wa kina ikiwa ni pamoja na kuongea na wamiliki wa mgahawa huo pia katika vyombo husika kama vile TBS, Jeshi la polisi nk tutalichapisha
0 Comments