Salamu nyingi za pongezi na Dua njema zimetolewa toka kwa Mhe Ridhiwani Kikwete na Menejiment nzima ya Ofisi ya Rais , Utumishi na Utawala Bora kwa Mh. Deo Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika siku hii muhimu anapoapa kuanza kazi kubwa ya kuisaidia Nchi yake na kumsaidia Mh. Rais kutimiza ahadi zake za Ilani kwa Watanzania. Waziri na wizara inaahidi kutoa ushirikiano mkubwa na kuchapa Kazi kwa kiwango kikubwa sana. #KaziNaUtu #KaziIendelee
TAFAKARI NEWS
Blog ya habari, uchambuzi, siasa, jamii na michezo




0 Comments