Waandaaji wa Mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2027), Tanzania, Kenya na Uganda wamesaini hati ya makubaliano ya pamoja kwa lengo la kuimarisha uratibu na ushirikiano katika maandalizi ya mashindano hayo.
Utiaji saini makubaliano hayo umeshuhudiwa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dkt. Patrice Motssepe.



0 Comments