📍🇹🇿 *MICHEZO NI ZAIDI YA UTAYARI WA MWILI BALI NI AFYA KWA AKILI*
Pichani : Mbunge wa viti maalum mkoa wa Kagera *Mhe Samira Khalfan Amour* akicheza mpira wa pete (Netball) na aliyekuwa spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania *Mhe Tulia Ackson* kwenye Bonanza la michezo lililodhaminiwa na kuratibiwa na Ofisi ya bunge Dodoma.
_Michezo si kwaajili ya kuimarisha miili yetu bali ni kujenga afya bora ya mwili na akili_
MAZOEZI NI TIBA KATAA KITAMBI NA MINYAMA M




0 Comments