Blog Post

MAKAMU WA RAIS AKISAFIRI KWA SGR KWENDA MOROGORO KUHUDHURIA WIKI YA MAJI



 Na Omary Mbaraka 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisafiri kwa Treni ya Kisasa ya Umeme ya SGR kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro leo tarehe  21 March 2026

Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji, yatakayofanyika mkoani Morogoro, kesho tarehe 22 Machi 2026. . 

Post a Comment

0 Comments

Close Menu