Na Omary Mbaraka 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe wa Vijana wa Kitanzania wanaoishi Nchini Oman ulioongozwa na Kiongozi wa Ujumbe huo Khalid Al Barwani ulioshiriki katika ziara ya nchi 9 Duniani katika kuunga mkono Juhudi za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Kutangaza Utalii Duniani (Royal Tuor), walipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 22 Januari 2026.