Blog Post

MWANAUME AMCHOMA KISU MWANAMKE ANAE TUMIA ARV BILA YEYE KUJUA

 Na Mwandishi wetu 


Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mwanaume mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa Kijiji cha Tingi kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma kwa tuhuma za kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni mke wake ambae pia jina lake limehifadhiwa baada ya kugundua kuwa mwanamke wake anatumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi (ARV).


Post a Comment

0 Comments

Close Menu