Blog Post

MH RIDHWANI KIKWETE ASHIRIKI KAMPENI KIJIJINI MIHUGA CHALINZE

 Mh Ridhwani Jakaya Kikwete ashiriki Ufunguzi wa kampeni za kunadi na kuomba kura kwa wagombea wa Nafasi za Udiwani, Ubunge na Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. 

Katika mkutano huo uliofanyika katika Kijiji cha Mihuga, Kata Miono Halmashauri ya Chalinze. Mh Kikwete aliwakumbusha kuendelea kuiamini Ccm na mgombea wake Dr. Samia Suluhu Hassan kutokana  na rekodi ya mafanikio makubwa waliyoipata katika utekelezaji wa Ilani iliyopita. 

Pia aliwapa umuhimu wa kuchagua Mafiga matatu yote ya Ccm kwa kuwa mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ni ushirikiano na mshikamano wa viongozi wanaotokana na CCM. 

Post a Comment

0 Comments

Close Menu