Matukio mbalimbali baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa kuwasilisha Bungeni, makadirio ya Mapato ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ikijumuisha ofisi na taasisi zake, na Bunge , mapema jana asubuhi.Hivyo basi Bunge litakaa kujadili Bajeti hiyo kwa siku 5.
TAFAKARI NEWS
Blog ya habari, uchambuzi, siasa, jamii na michezo
0 Comments