Na James Nyanda Malwilo
Leo hii limefanyika kongamano kubwa la UWT katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, leo Februari 04, 2025. Mgeni rasmi akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe Steven Wasira. Mhe Wasira amewapongeza sana WANAWAKE kwani ndio wapiga kura wakubwa
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza Maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi yatakayofanyika kitaifa kesho Februari 05, 2025 katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.






0 Comments