Blog Post

MHE RIDHWANI KIKWETE AWEKA MIKAKATI MIZITO NA BALOZI WA JAPANI

Na Omary Mbaraka 


Hivi karibuni waziri WA nchii kazi, ajira vijana na wenye ulemavu ofisi ya waziri mkuu Mhe Ridhwani Jakaya Kikwete alikutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yusushi Misawa pamoja na ujumbe wake ofisini kwake Novemba 18, 2024 jengo la NSSF, Jijini Dar es Salaam. 



Katika kikao  hicho walijadiliana mambo mbalimbali ikiwemo kuwezesha vijana wa kitanzania nafasi za kujifunza kazi na kuimarisha mafunzo kuongeza ujuzi. yote hayo yakiwa ni juhudi kubwa zinazofanywa na Mhe Kikwete kukuza ajira nchini



Post a Comment

0 Comments

Close Menu