Blog Post

RIDHWANI KIKWETE ASHITUKIZWA NA TAFRIJA YA "BIRTHDAY "

Na Steve Mhando Mhe Ridhwani Kikwete jana alikutana ghafl na tafirija fupi ya siku yake ya kuzaliwa (Birthday)ilioandaliwa na wafanyakazi wenzie wa wizara ya utumishi na utawala bora wakiongozwa na waziri wa wizara hio Muheshimiwa George Simbachawene Hata hivyo Mhe Ridhwani Kikwete ambae ni naibu waziri wa wizara ya utumishi na Utawala bora alitumia fursa hio kuwakumbusha wafanyakazi wenzie kuchapa kazi kwa bidii

Post a Comment

0 Comments

Close Menu