Na Mwandishi wetu
Waziri wa nchi Ofisi ya RAIS menejimenti ya utumishi wa umma na utawara Bora Mhe Ridhwani J Kikwete ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa Maafisa Tawala na RasilimaliWatu Afrika uliofunguliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, tarehe 10 Nov. 2026 katika Hotel ya Verde , Zanzibar.
Mkutano huo uliohudhuria na Maafisa Tawala na Rasilimali Watu takribani 1220 uliolelenga kujadili nafasi ya utumishi na ulinzi wa Rasilimali watu katika kipindi hiki cha mabadiliko ya Teknolojia ususani matumizi ya Akili Unde.
Akitoa salamu za serikali amewahusia watumishi wa umma kujipanga vizuri na mababiliko haya na wayachukue kama chachu kuimarisha Usimamizi na ukuaji wa Rasilimali Watu.






0 Comments