Na Mwandishi wetu
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. CP Salumu Hamduni amempokea na kufanya mazungumzo na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa Ofisini kwake mapema leo Octoba 23, 2026 ofisini kwake.
Mtume mwamposa yupo Mkoani humo kwa muda wa siku tatu kwa ajili ya kutoa huduma kwa wananchi wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mikoa ya jirani ambapo Cp Hamduni amesema anaimani wananchi watapata uponyaji kupitia huduma watakayoipata kwake.
Naye Mtume Mwamposa ametumia wasaa huo kumpongeza Mkuu wa Mkoa kwa kuulinda Mkoa pamoja na wananchi wake wenye afya njema.
Amesema katika huduma atakayoitoa Mkoani humo ni sambamba na kuuombea Mkoa pamoja na Taifa kwakua Mkoa au Taifa likiwa na giza hakuna kitu kitaenda sawa ila kutakapokua na nuru kila kitu kitakua sawa na ardhi itakombolewa pamoja na watu wa






0 Comments