Na Mwandishi wetu
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Ndg. Aggrey Mwanri, amepokelewa leo, Septemba 27, 2026, Wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, akiendelea na ziara yake ya kikazi yenye lengo la kuimarisha chama na uhusiano wake na wananchi.
Katika ziara hiyo, Mwanri amezindua Shina Na. 5 la Wakereketwa wa CCM, linalojumuisha wafanyabiashara wa vipuri vya pikipiki (spare parts), huku akisisitiza umuhimu wa mshikamano na ushirikiano katika kujenga chama na kuchochea maendeleo.







0 Comments