Na Mwandishi wetu
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda.
Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari St. Mary, Mpanda, mkoani Katavi.







0 Comments