Blog Post

MACHIFU WA TANZANIA WAHUDHURIA SIKU YA MADHUJAA KWA MWALIKO WA WAZIRI MKUU

Tarehe 25/07/2026 ilikuwa siku ya maadhimisho ya kumbukumbu  za mashujaa wa nchi hii.wawakilishi wa MACHIFU WA enzi hizo walialilikwa na ofisi ya waziri mkuu kuwakilisha machifu akiwemo mwakilizhi wa aliekuwa chifu mkoa mbeya kwa niaba ya chifu Hangaya.

Toka kushoto ni mwenyekiti wa machifu Tanzania dada chifu Tonisiza Sangalali, akiwa na chifu Lyoto toka mbeya mjini na kulia zaidi ni chifu Bilinje toka Dodoma akiwa na wasaidizi wake kulia. Hakika Ilifana sana.

Post a Comment

0 Comments

Close Menu