Na Omary Mbaraka
MHE Deogratius John Ndejembi ametangaza msiba WA marehemu Hafidh Ameir Hassan aliekuwa mume WA Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan uliotokea Leo asubuhi sawa mbili asubuhi katika hospiitali ya mzena iliopo Zanzibar.
Marehemu Hafidh Ameir Hassan aliekuwa akisimbuliwa na maradhi ya moyo. Mazishi yake yatafanyika Leo Kizimkazi Zanzibar
Viongozi mbslimbali wa serikali wakiwemo mawaziri eatahudhuria



0 Comments