Blog Post

DAKTARI BINGWA WA MUHIMBILI BW CONRAD A KAHOZA AFIKISHWA MAHAKAMANI

 


Na Mwandishi wetu

Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na Mloganzila, Dkt. Conrad Agonza Kahoza amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Dar es Salaam, leo akituhumiwa kumshambulia askari wa Usalama Barabarani katika eneo la Lugalo, Dar es Salaam.


Post a Comment

0 Comments

Close Menu