Waziri ofisi ya Rais Menejimenti,Utumishi na Utawala bora Mhe Ridhwani Jakaya Kikwete nae alikuwa ni miongoni mwa Viongozi wenzake pamoja na Wananchi, kuhani msiba wa Marehemu Hafidhi Ameir Hassan ambae alikuwa Mwenza wa Rais wetu, Mzee wetu Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja.
Pia Mhe Kikwete alipata nafasi ya kumuhani mfiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa msiba mkubwa uliomkuta. "
"Tunaendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ampe nguvu, subira, na imani kushinda huu mtihani wa kumpoteza Mwenza wake." Alisema Mhe Kikwete. #InnallillahWainnaillahRajoun





0 Comments