Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma Muhtasari wa Ripoti ya Tume hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23, Aprili, 2026
Huku Mhe Rais dkt Samia Suluhu Hassan akisikiliza kwa makini.





0 Comments